Moja ya tukio ambalo linasubiriwa kwa hamu Zanzibar kisiwani Unguja ni ugawaji wa Tuzo za Trace ambazo zinatarajiwa kutolewa ...
Kabla wiki hii haijamalizika, Shirikisho la Mpira wa Miguu Kenya (FKF) litamtambulisha nyota wa zamani wa Porto, West Ham ...
Zimebaki siku kadhaa kuingia mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Mwezi ambao hupambwa kwa swala na nyimbo mbalimbali za Kaswida. Ni ...
SUPASTAA, Mohamed Salah kila anachoweka mezani msimu huu kinauzika. Kwenye Ligi Kuu England, mkali huyo wa kimataifa wa Misri ...
Kocha wa Simba Fadlu Davids amesema mechi mbili zijazo zinaweza kutoa picha halisi ya ubingwa kwa timu yake msimu huu.
SAHAU ishu ya ndoa yake na Hamisa Mobetto. Achana na kitendo cha kusamehe fungate la ndoa na kukipiga katika mechi za Ligi ...
IMEPITA misimu minane ukienda wa tisa tangu beki wa Simba, Shomari Kapombe alivyoweka rekodi 2015/16 akiwa Azam FC ambayo ...
USHINDI wa Yanga wa mabao 5-0, ilioupata juzi dhidi ya Mashujaa, umemfanya kocha wa timu hiyo, Miloud Hamdi kutembelea nyayo za mtangulizi wake, Sead Ramovic aliyeondoka na kutimkia CR ...
JAMAA aliyemleta kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua nchini ametazama kiwango cha mchezaji huyo kwenye mchezo dhidi ya Mashujaa ...
MICHEZO ya Ligi Kuu Bara inatarajiwa kuendelea leo katika viwanja tofauti itakayokuwa na hesabu kali kutokana na timu kuwania ...
REAL Madrid inaripotiwa kusikilizia kwa mbali hali ya mambo yanavyoendelea kwa beki wa kati wa Liverpool, Virgil van Dijk na ...
KUNA kitu Yanga inakifanya kwa sasa, ikipambana kuhakikisha kwamba inaikamata rekodi ya Simba ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu ...