Hafla ya kuapishwa kwa Samia Suluhu Hassan itafanyika katika uwanja wa kijeshi lakini raia wa kawaida hawatahudhuri ...
Ushindi wa asilimia 98 wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ni "kejeli ya mchakato wa kidemokrasia", ...
Chama cha Hisabati Tanzania (MAT/CHAHITA) kimetangaza matokeo ya Mtihani wa Mashindano ya Kitaifa ya Hisabati (TAMO) mwaka huu, yakionesha wavulana kuongoza kwa kupata alama za juu ukilinganisha na ...
KATIKA toleo lililopita, tuliona jinsi maisha Simba yalivyokuwa kwa Mbonde japo hakukaa muda mrefu. Kuna mambo ambayo hawezi kuyasahau Msimbazi ikiwamo kutwaa taji la Ligi Kuu Bara. Pia alizungumzia ...
Mwanaume anapiga kura yake wakati wa uchaguzi wa mitaa Tanzania kwenye kituo cha kupigia kura Kigoma, tarehe 27 Novemba, 2024. Serikali ya Tanzania imezidisha ukandamizaji wa kisiasa, Kuibua hatari na ...
Licha ya mabilioni kutumika katika elimu, afya na miundombinu, kwa nini bado mataifa mengi yanashindwa kufikia maendeleo ya maana? Je, tatizo ni matumizi kidogo au matumizi yasiyo sahihi? Benki ya ...
Hii ni mara ya kwanza Yanga inashindwa kupata ushindi baada ya kucheza mechi tano za mashindano msimu huu, huku mashabiki wakimtaka kocha Romain Folz kuondoka kikosini hapo baada ya matokeo hayo.
Matokeo ya uchaguzi wa wabunge wa Septemba 27, 2025, yametangazwa usiku wa Septemba 28. Chama cha Democratic Union of Builders (UDB), chama cha Rais Oligui Nguema, ndicho kinaongoza. Kimeshinda ...
Umoja wa Ulaya umepongeza matokeo ya uchaguzi wa bunge nchini Moldova na kusema umeonyesha kuwa nchi hiyo ndogo ya mashariki mwa Ulaya iko kwenye njia sahihi ya kujiunga na Umoja huo. Kwenye chapisho ...
Guinea itafanya uchaguzi wake mkuu wa kwanza wa urais tarehe 28 Desemba tangu mapinduzi ya mwaka 2021. Haya ni kwa mujibu wa agizo la rais lililosomwa kupitia televisheni ya kitaifa. Tangazo hilo ...
GEITA : WAZIRI MKUU,Kassim Majaliwa leo Septemba 22, 2025 amefungua maonesho ya nane ya teknolojia ya madini kwa mwaka 2025 ambayo yamefanyika kwenye viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Geita.