Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi 29, 2024 huku matokeo ya wanafunzi 67 wakiwemo watano walioandika matusi ...
Matokeo ya uchaguzi wa wabunge wa Septemba 27, 2025, yametangazwa usiku wa Septemba 28. Chama cha Democratic Union of Builders (UDB), chama cha Rais Oligui Nguema, ndicho kinaongoza. Kimeshinda ...
Guinea itafanya uchaguzi wake mkuu wa kwanza wa urais tarehe 28 Desemba tangu mapinduzi ya mwaka 2021. Haya ni kwa mujibu wa agizo la rais lililosomwa kupitia televisheni ya kitaifa. Tangazo hilo ...
Rais wa zamani wa Malawi Peter Mutharika anaongoza katika uchaguzi uliofanyika wiki hii ambapo alikuwa akikabiliana kwa mara ya nne na rais wa sasa Lazarus Chakwera, kulingana na matokeo ya awali.
MIAKA yake 26, lakini tayari ameshajua njia ya kupata ugali wake. Ni bondia machachari mzaliwa wa Tabora, Kato Kabagile Machemba. Hata hivyo, historia imefanya azikate kilomita 893 kuufikia mchezo huo ...
BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita na mitihani ya ualimu iliyofanyika Mei mwaka huu. Limesema waliofaulu kidato cha sita ni 125, 779 sawa na ...
KIUNGO mshambuliaji wa Azam, Nassor Saadun amekiri licha ya ubora wake binafsi, lakini kama timu wameshindwa kufikia malengo waliyojiwekea msimu huu na kuondolewa mapema katika mbio za ubingwa wa Ligi ...
GEITA: BINTI mmoja mhitimu wa kidato cha nne, Rabia Paulo ,19, mkazi wa barabara ya Msalala, kata ya Kalangalala Wilaya ya Geita amejinyonga baada ya kufeli mtihani wa kidato cha nne. Kamanda wa ...
Israel na Hamas zinatarajia kutekeleza hatua ya nne ya mabadilishano mateka na wafungwa tangu kuanza kwa usitishaji vita Januari 19 huko Gaza siku ya Jumamosi, na kuachiliwa kwa Waisraeli watatu ...
Dar es Salaam.Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi 29, 2024. Shauri la utata wa uteuzi wa mgombea urais wa chama cha ...
Dar es Salaam. Wakati Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) likitangaza kuendelea kuimarika kwa ufaulu wa matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, Mwananchi imebaini somo la fikizia, kemia na ...