News
MGOMBEA wa nafasi ya urais kupitia Chama cha National League (NLD), Doyo Doyo, ametinga Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndejengwa jijini hapa, akiwa ndani ya bajaji, huku akisema ametumia usafi ...
WAKULIMA wa Wilaya ya Chemba na Kondoa mkoani hapa, wamepatiwa mafunzo ya kilimo mseto, ili kukabiliana na mabadiliko ya ...
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema chama chake kinahitaji kumpata mgombea mwenye uwezo ...
MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango, amesema mambo mawili atakayoyakumbuka kwa Spika mstaafu Job Ndugai, ni kuhimiza watu ...
MGOMBEA wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, jana amechukua fomu ya kuteuliwa na Tume Huru ya ...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum katika Bunge la 12, Ester Mtiko, amemkumbuka Hayati Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Yustino Ndugai, kama mtu mwenye msimamo thabiti aliye ...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Chana, ameagiza Jeshi la Uhifadhi (JU) na Jeshi la Polisi (PT) kuendeleza ...
Askofu wa Kanisa Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Central Tanganyika, Dk. Dickson Chilongani, amesema Hayati Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Yustino Ndugai, alikuwa Mkris ...
Mgombea wa nafasi ya urais kupitia Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Coaster Kibonde, ametaja vipaumbele vitatu ...
Rais Samia Suluhu Hassan, amewatunuku tuzo Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) baada ya kuibuka Mshindi wa Kwanza kwa Wakala wa Serikali wanaotoa huduma za uzalishaji bora na zenye tija kw ...
BAADHI ya wakazi na watumiaji wa barabara kuu ya Arusha–Moshi kuelekea Dar es Salaam, hususan katika kata za Kileo na Hedaru mkoani Kilimanjaro, wamesema juhudi za serikali kukarabati miundombinu ya b ...
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imetumia maonyesho ya saba ya Kilimo na Ufugaji Kanda ya Ziwa Magharibi kutoa elimu kwa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results