Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Dar es Salaam. Wakati Taifa linapoadhimisha kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuwekeza ...
Dar es Salaam. Idara ya Uhamiaji nchini imewaondoa raia wawili wa kigeni waliobainika kukiuka masharti ya viza zao za matembezi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Oktoba 14, 2025 na Msemaji wa ...
Ndege ya Shirika la Ndege la Air India iliyokuwa ikielekea jijini London nchini Uingereza imeanguka katika eneo la makazi la Meghani Nagar nchini India ikiwa na jumla ya abiria na wahudumu 242. Ndege ...
Tabora. Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linachunguza tukio la kupotea kwa mtoto mwenye umri wa miaka mitatu anayeishi na wazazi wake Kata ya Mpela, Manispaa ya Tabora. Akizungumza na Mwananchi kwa njia ...
Marekani. Mwanamuziki wa Marekani Bradley Younger, maarufu BVB on the Keys ameweka rekodi katika ulimwengu wa muziki kwa kuachia wimbo mpya kila wiki kwa takribani miaka mitatu mfululizo. BVB amekuwa ...
Haina maana kuwa ili ushindane na mtu sharti uwe hukubaliani naye. Inawezekana ukaona anafaa kwa kila nyanja, lakini kwa sababu ushindani umewekwa, unaamua kujitosa kumkabili unayemkubali. Inaitwa ...
Wajumbe kupitia UWT Wilaya ya Geita ,wakiwa kwenyw ukumbi wa Shule ya Sekondari Nyankumbu wakisubiri kupiga kura kuchagua madiwani viti maalum. Geita. Wajumbe 3,000 wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha ...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi, akimkabidha moja ya vitendea kazi Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari, Tirdo Mhando wakati wa hafla ya ...
Dar es Salaam. Miaka 10 ya Kassim Majaliwa kama Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa ya kipekee machoni mwa Watanzania, kuanzia kwenye uteuzi wake hadi sasa anapoondoka katika ofisi ...
Dar/Mikoani. Makada wa CCM wamezidi kujitokeza kuchukua fomu katika majimbo mbalimbali nchini wakiomba ridhaa ya kukiwakilisha Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 ...
Geita. Licha ya changamoto mbalimbali zinazowakabili, ikiwemo kunyanyapaliwa, kutengwa na kunyang’anywa mali, wajane mkoani Geita wameshauriwa kutokukubali kurubuniwa kuingia katika ndoa nyingine kwa ...