WAZIRI wa Afya, Mohammed Mchengerwa amepiga marufuku madaktari wa hospitali za umma kuwaelekeza wagonjwa kununua dawa nje ya ...
MOROGORO: MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro, Lucy Kombani amewashauri wanafunzi wa vyuo vikuu kuzingatia ulaji wa ...
TANZANIA imepanda na kustawisha miti 691,523,763 katika kipindi cha miaka minne kuanzia mwaka 2020-2024 kupitia kampeni ya ...
MKURUGENZI wa Mashitaka (DPP) amesema hana nia ya kuendelea kuwashitaki washitakiwa wawili kati ya 10 wanaokabiliwa na kesi ...
WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu imepokea Sh bilioni 10.5 kwa ajili ya kutoa mikopo ya ...
GEITA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru ...
DODOMA: Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameitaka jamii kuachana na dhana potofu ya kuficha wagonjwa wa ukoma na kujitokeza ...
MAHAKAMA ya Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam imewapandisha kizimbani watu wawili wakikabiliwa na mashitaka ya ...
GEITA: WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tamisemi, Profesa Riziki Shemdoe amewataka viongozi na watendaji wa Serikali ...
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imesema itawapatia ...
GEITA: TANZANIA imefanikiwa kusajili jumla ya miradi 1,828 ya uwekezaji yenye thamani ya Dola za Kimarekani bilioni 20.31 ...
WAFANYABIASHARA katika masoko yaliyopo jijini Dodoma wamehimizwa kutosubiri kusimamiwa na viongozi katika uondoaji wa takataka kwenye maeneo yao. Msimamizi wa soko la Sabasaba eneo la miti mirefu Gaud ...