Karibu kila mtu ana dhana fulani kuhusu muonekano wa Yesu Kristo. Ndiye mtu aliyechorwa zaidi katika sanaa ya Magharibi. Picha zake hutambuliwa kwa urahisi, ambapo huoneshwa akiwa na nywele ndefu na ...
Katika kijiji cha Luhohwe kilichopo jimbo la Bungoma magharibi mwa Kenya anapatikana mwanaume anayejulikana kama 'Yesu' wa Tongareni. Maisha yake yalikuwa ni ya kawaida hadi ilipofika mwaka 2009 ...