Msanii Snura Mushi ambaye wimbo wake wa Chura ulipigwa marufuku na serikali ya Tanzania ameomba radhi na kuahidi kutekeleza maagizo ya serikali. Hata hivyo, bado ametetea video zilizotolewa za wimbo ...
Mwanamuziki Emmanuel Elibariki maarufu kama Ney wa Mitego, ambaye alikuwa amekamatwa na kuzuiliwa na maafisa wa polisi Tanzania kuhusiana na wimbo wake, ameachiliwa huru. Wa Mitego ameachiliwa huru ...
Ufaransa ni marufuku kuzomea wimbo wa Taifa unapopigwa uwanjani. Mipango ya FIFA-shirikisho la dimba ulimwenguni kuweka viwango maalumu vya wachezaji wa kigeni wanaochezea klabu za nje ,ni hatua nzuri ...
Mbali na Bendera, wimbo wa Jumuiya hiyo umetakiwa kuimbwa katika shughuli zote za kitaifa, pindi tu baada ya ule wa taifa husika. Jumuiya ya Afrika Mashariki ina mataifa matano; Kenya, Uganda, ...