Wimbo wa mapenzi wa mwanamuziki wa Uingereza Ed Sheeran unaongoza kwa kupendwa sana na watu kama wimbo wa kufungua jukwaa wakati wa harusi. Kwa mujibu wa mtandao wa Spotify, ambao wamechunguza maelfu ...