Mkutano wa kilele wa viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Jumuia ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika, SADC unafanyika jijini Dar es Salaam kuujadili mzozo wa mashariki mwa Kongo. Viongozi ...
Wanaharakati na wadau wa Kiswahili wamezitaka nchi za jumuiya ya Afrika mashariki kuanzisha mabaraza ya Kiswahili kama mojawapo ya suluhu ya changamoto kubwa zinazokabili ukuaji wa Kiswahili kwenye ...