KAGERA: SERIKALI imetenga zaidi ya Sh bilioni 45 kwa ajili ya ujenzi wa madaraja matano ya kudumu mkoani Kagera ambayo awali ...
Leo tunaangazia juu ya mapendekezo ya kamati ya ushauri ya mkoa wa Geita, kuunda mkoa mpya wa Chato, nchini Tanzania. Geita imependekeza mkoa mpya wa Chato uundwe na baadhi ya wilaya za mikoa ya Geita ...