Rais wa Tanzania amezungumza kwa mara ya kwanza tangu uchaguzi wa mwezi Oktoba uliopingwa kuhusu kuzimwa kwa mtandao wa ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu kwa mara ya kwanza tangu uchaguzi wa Oktoba mwaka uliopita, amezungumzia hatua ya serikali yake ...
Vyombo vya Habari nchini Tanzania vimepigwa marufuku kutangaza ushuhuda unaotolewa mbele ya tume inayochunguza ghasia za ...
WAZIRI MKUU, Dk Mwigulu Nchemba leo Januari 24, 2026 amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ...
Familia nyingi nchini Tanzania bado zinahangaika kutafuta miili ya wapendwa wao waliopotea wakati wa machafuko ya wakati na ...
Ukandamizaji ulishamiri chini ya uongozi wa Rais alietangulia, John Magufuli, kama anavyoelewa vema Tito Magoti, mwanasheria na mwanaharakati ambaye alikamatwa mwaka 2019 na kuwekwa kizuizini bila ya ...
Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa wakati wa kulifungua Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeonekana kuwa moja ya hotuba zenye mwangwi mpana kwa vijana wa kizazi kipya, maarufu ...
MOROCCO; Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amekutana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika ...
Balozi 16 za nchi za magharibi zimetoa wito kwa Serikali ya Tanzania kufuatia ripoti za ukiukwaji mkubwa na wa mfumo wa haki za binadamu baada ya uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025. Ripoti hizo ...
MAAFANDE wa KVZ ya visiwani hapa imebeba ubingwa wa Ligi ya Muungano kwa mchezo wa netiboli, huku Waziri wa Nchi Ofisi ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results