Mapema mwezi oktoba madaktari walionywa kuhusu mtindo hatari wa kabla ya mazoezi unaoitwa "dry scooping" ambao baadhi ya washiriki wa mazoezi wanafanya. Uliohusisha kula virutubisho vya poda badala ya ...
Washiriki wa mazoezi ya kwanza ya pamoja kwa wanawake wajawawazito wameiambia BBC kuwa wanataka serikali ya Rwanda kuendeleza mpango huo. Hii ni baada ya zaidi ya wanawake 100 wajawazito kushiriki ...
Iran na Urusi zitafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Ghuba ya Oman, huku mvutano na Marekani ukifikia kilele.
Ulchi Freedom Shield ni jina la mazoezi ya kijeshi yanayofanyika kila mwaka nchini Korea Kusini, kwa kawaida yakihusisha maelfu ya wanajeshi katika mafunzo ya kituo cha maamuzi na mazoezi ya pamoja.
Nchi washirika wa NATO zinapanga kuendesha mazoezi ya kijeshi kwenye anga ya Ujerumani. Maeneo matatu yatafungwa kwa muda. Safari za ndege za kiraia hazitaruhusiwa katika anga ambapo mazoezi hayo ...
Baadhi yao hufanya mazoezi kwa sababu wame agizwa na wataalam wa afya, wengine kwa sababu hufurahia kufanya mazoezi mara kwa mara. Sehemu zakufanyia mazoezi zilifungwa wakati wa kilele cha janga la ...
Sekta ya mavazi ya mazoezi inathamani yamabilioni ya dola, na kwa muda mrefu makampuni makubwa yakimataifa yame tawala sekta hiyo. Cynthia ni mjasiriamali mchanga ambaye anaingia katika sekta ya kuuza ...
Iran na Urusi zimefanya leo mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Ghuba ya Oman ambayo ina umuhimu mkubwa wa kimkakati. Shirika ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results