Matokeo yaliyotangazwa leo yanaonyesha kuwa kwa ujumla asilimia 87.79% ya watahiniwa waliofanya mtihani huo wamefaulu ambapo ni sawa na ongezeko la ufaulu la asilimia 0.49% ukilinganisha na asilimia ...