Mwandishi wa vitabu nchini Kenya, Ken Walibora ambaye alizikwa wiki iliyopita, ameacha kizazi kipya cha mashabiki wake wanaopenda kusoma vitabu vyake akiwemo mwandishi wa BBC, Basillioh Mutahi.
Julai saba kila mwaka dunia inaadhimisha siku ya Kiswahili katika kutambua mchango wa lugha hiyo adhim katika kukuza utofauti wa kitamaduni, kujenga ufahamu na kukuza mjadala miongoni mwa jamii.
Wataalamu wa lugha ya Kiswahili wametakiwa kuhakikisha wanatumia taaluma yao katika tafiti zao badala ya kutumia lugha za kigeni ambazo mara nyingi ndio hutumika katika utafiti. Wito huo umetolewa ...
Leo hii, tunasherehekea Siku ya Kiswahili Duniani, siku maalum ya kutambua na kuenzi thamani ya lugha ya Kiswahili kama chombo muhimu cha mawasiliano, utambulisho wa tamaduni, na daraja la maelewano ...
Licha ya kuwa Lugha ya Kiswahili ,imetambuliwa lugha ya kimataifa ,juhudi za kuikuza bado ni kidogo.Nchini Kenya shirika la kimataifa la Toastmasters ,inayotoa mafunzo kuhusu namna ya kuwasiliana ...
Bazara la mawaziri katika maamuzi yake limekubali kutekelezwa kwa mapendekezo ya azimio la 21 wa viongozi wa Jumuiya ya Africa mshariki, yalioidhinisha matumizi ya lugha ya kiswahili kutumika kanda ...