Jopo la wazee kwa ushirikiano na usimizi wa wilaya ya Xamaro, iliyopo katika eneo la Erer nchini Somalia, wametoa kakuni mpya zinazotarajiwa kuongoza jamii huko katika shughuli ya kuposa na gharama ...
Kiasi gani ni kupita kiasi? Hilo ndilo swali ambalo wengi nchini India wanauliza huku sherehe za harusi ya mtoto wa kiume wa tajiri mkubwa zaidi barani Asia, ikiingia awamu ya mwisho. Sherehe hizo ...