Ukitaka kumuua sokwe usimwangalie usoni! Leo hii yanibidi kuwasemesha wanahabari wenzangu. Nchi hii ya Kenya kila jambo ni kama laendeshwa na kuongozwa kwa misingi ya kikabila, hivi kwamba ukiliona tu ...
Mnamo Jumanne wiki hii nikiwa mtaa wa Mwiki, eneo la Kasarani, nilishuhudia kisa ambacho kingali kunipiga moyo hadi sasa. Nilikuwa nimekwenda eneo hilo kuwanasa wanafunzi na walimu wao kuhusu ...
Je unafikiri Ghana inaweza kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya? Uturuki imeshaomba kuwa mwanachama wa umoja huo. Hapo awali Morocco pia iliwahi kuomba kuwa mwanachama. Je ni vigezo vipi vinatumika ili ...
Filamu mpya ya Star Wars itaanza kuonyeshwa maeneo mengi duniani 18 Desemba miaka 38 baada ya filamu ya kwanza kuonyeshwa. The Force Awakens, ambayo ni ya saba katika mwendelezo huu wa filamu, ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results